Kitaalamu maji
yanaweza kuwa safi lakini si salama , bali usalama wa maji yako ni pale
yanapoweza kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu na kujua kama hayana wadudu
hatarishi hasa bakteria ambao hupatikana kwenye vinyesi vya mwanadamu na
wanyama , bakteria hawa husababisha magonjwa ya tumbo na kuhara , unaweza rejea
mada zilizopita na kupata ufafanuzi juu ya hao wadudu hatarishi kwenye maji
Jinsi ya kupata
msaada wa kitaalamu unaweza kuwasiliana nami nakupewa maelekezo jinsi ya
kufanya .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni