Mtu akikosa chakula anaweza kuishizaidi ya miezi 2 akinywa maji tu, bali mtuakikosa maji kwa wiki2 tu anaweza
kupoteza uhai , mwili wa binadamu kwa
sehemu kubwa ni maji , Fikilia vile maji maji ambayo yapo mdomoni pale mtu anapokula
chakula ikiwa ni hatua ya awali kabisa katika mfumo wa usagaji chakula hali hii uletwa na tezi ambalo huitwa salivary
Pia maji maji yaliyopo katikati ya viungo vya miguu ambayo
usaidia mifupa isisagike pia maji maji
hayo usaidia kusinyaa na kutanuka kwa miguu , na ata kuweka msawaziko katika
mwendo
Maji pia utokeza sehemu kubwa sana ya damu ambapo oxygen
uweza kusafiri ikiwa kwenye mishipa midigo midogo kwa ajili ya shuguri mbali
mbali za mwili
Maji hayo katika uashiria kuwa mwili wa mwanadamu ni
maji kwa kiasi kikubwa
KAZI ZA MAJI KATIKA MWILI
Mara nyingi nimesikia matabibu na wadau wengi wa sekta ya
afya wakisisitiza watu kunywa maji angalau lita tano kwa siku , kutokana na
watu wengi hapa duniani tumetingwa na shughuri nyingi hivyo huwa tunajisahau na
kujikuta tukinywa kiasi kidogo sana cha maji matokeo yake tumejihisi wagonjwa
na hata wengine kukimbilia hospitali kumbe ni kwamba atujazingatia kunywa maji
mara kwa mara .
Mada ya hii itazungumzia kazi mbalimbali za maji katika mwili
- Maji usaidia kumeng’enya chakula katika mwili
Baada ya kumaliza kula tunahitaji maji , hii ni kwa sababu
maji huusika moja kwa moja kusaga chakula , mbali na mmeng’enyo ambao hufanyika
maji pia upeleka viini lishe mbalimbali ambavyo huitajika na seli za mwili
kuusaidia mwili katika ukuaji au kuboresha zaidi pia maji usaidia kupata choo .
2 . Maji usaidia kuleta msawaziko bora wa kiasi cha joto la
mwili
Kwa wastani joto la mwili wa mwanadamu ni 98.6 degree za
falenhite au 37 degree za sentigredi , kutokana na shughuli mbali mbali za
mwili kiasi cha joto kinaweza kupanda au kushuka , mfano mtu mwenye ugonjwa
wa malalia joto lake la mwili linaweza likapanda sana au kupungua , hii
kibailogia utokana na seli nyeupe zinazolinda mwili kuzidiwa nguvu na virusi
vya ugonjwa hivyo mgonjwa ni lazime anywe maji ya kutosha ili kurekebisha joto
la mwili .
3Maji ni muunganiko wa molekuli mbili yaani oxygen na
hydrogen ambapo oxygen huitajika na ubongo kwa ajili ya shughuli zake za kila
wakati , hivyo basi ili ubongo uweze
kufanya kazi vizuri unahitaji oxygen ambayo utokana na maji tunayokunywa Wakati
mwingine tunaweza kuhisi dalili ya kwamba ubongo unahitaji oxygen pale tunapohisi
maumivu ya kichwa wengi ukimbilia kutafuta dawa za kutuliza maumivu lakini mimi
nashauri watu wajiulize kama walikunywa maji ya kutosha , ingawa si maumivu
yote ya kichwa sababu huwa ni kukosa maji .
4 Maji pia usaidia figo katika kuchuja uchafu na sumu mbali
mbali ambapo utolewa nje baada yo uchafu huo kuingia kwenye kibofu cha
mkojo ambapo ni miongoni mwa shughuli za
mwili zinazohusisha seli hai .
Unaweza kujua pia kuwa mwili unahitaji maji pale unapo
enda aja ndogo na ukagundua kuwa mkojo umekuwa wemye rangi ya njano naharufu
kali
Zote zilizotajwa ni faida za msingi za maji katika
kuendeleza uhai wetu hivyo kuna
madhara mengi tutakayo kutana nayo pale tutakapo kosa kunywa
maji kwa kiwango kinachotakiwa , mfano kujisikia uchovu , kuumwa kichwa na kukosa
choo .
lakini changamoto leo ni je maji yako ni safi na salama ? na
kama una uhakika je utajuaje ?
,Ndani ya blogu hii utapata elimu ya kutosha kuhusiana na maji .